Sina Mali, Sina Deni by Folk - Various Artists

 
Love this song? Put this box on your blog!
Lyrics

Sina Mali, Sina Deni Lyrics

Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
full lyrics

more lyrics

Paste this code into your blog:

Sina Mali, Sina Deni Lyrics

edit | print 
Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto

Ahiya, mam'ahiya
Sina haja,ya kitu,
mimi napona
I'm free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua

Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma

I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori

Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona

I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona

Ahiya Mam'ahiya
sina mali, Mungu, sina deni
This is where you edit and then post corrections:
Artist:
Title:
Songwriter:
Your name (just to give you credit, optional):
Email (to let you know, when it's posted):
Enter the code exactly as it appears: